Swahiili Reads

Tusiishi kama kimvuli
Swahiili Reads · 29. March 2022
Waliogundua usafiri wa anga, bahari, mawasiliano ya simu, matumizi ya kompyuta,, umeme nk. Kama wangeliishi maisha yao kwa kufuata mazoea yaliyokuwepo, hata sasa dunia ingekuwa giza nk. Dunia inahitaji mambo mapya kutoka kwetu sote. Tuache kuwa kama kimvuli..........Endelea